Search
Free School Management System
Free School Management System for Kenya

Free School Management System

Learn More

KCSE CLUSTER TESTS 25

Kiswahili Paper 2

1. UFAHAMU (Alama 15)

Soma makala yafuatayo kisha ujibu maswali yanayofuatia.
1.

(a). —Kazi ya kulima, kupanda, kupalilia na kuvuna inaweza kufanywa na mtu mmoja. --Inawezekana kukuza mimea na kufuga wanyama wanaokomaa kwa muda mfupi na kutoa mazao maradufu. ( 2 x1=2 )

(b). —Kuna mitambo ya kusukuma maji, vyombo vya kusafirisha mizigo, vifaa vya kunyunyizia maji, tanuri ya kuoka inayohifadhi nishati n.k. —Kuna majokofu yanayotuwezesha kuhifadhi vyakula bila kuharibika. (2x1=2)

(c). Nishati ya jua imewezesha watu vijijini kupata umeme. Kutumia simu tamba, watu walio vijijini wanaweza kuwasiliana na walio hata ng’ambo. Mashambani teknolojia inatumika katika kilimo, kupanda, kupalilia na kuvuna. (2 x1=2)

(d). Kazi ya kulima, kupanda, kupalilia n.k inaweza kufanywa na mtu mmoja akitumia trekta. Mtu anaweza kukuza mimea na kufuga wanyama wanaokomaa kwa muda mfupi na kutoa mazao maradufu. Badala ya kutumia umeme unaotokana na maji watu sasa wanatumia mvuke, nguvu za upepo na nishati ya jua kupata umeme. (3 x 1 = 3)

e). Uundaji wa silaha k.m mabomu ya kitonoradi zinazotumiwa kuwaangamiza watu. Wahalifu na magaidi wa kimataifa wanatumia teknologia mpya kufanya uhalifu. Wahalifu wanaweza kusikiza mawasiliano ya watu kwa simu, hata baina ya polisi. Inawezekana kutumia teknolojia kuagiza benki kutumia pesa nje ya nchi bila mwenye hazina kujua. Matatizi mengi ya kiafya yasemekana yanatokana na vyakula vilivyokuzwa kutumia teknolojia mpya. (2 x1 = 2)

(f). Gari moshi latumia stima badala ya makaa. Mikrowevu yaweza kupika maharagwe yakaiva kwa dakika chache. Majokofu yanatuwezesha kuhifadhi vyakula bila kuharibika. Magari sasa ni madogo na yenye muundo wa kuvutia na huenda kwa kasi. (2 x1 = 2).

(g). (i). Malighafi – Mali inayotumiwa kutengenezea kitu kingine. (alama 1).

(ii). Matekinia - mafundi. (alama 1).

20 marks

2. MUHTASARI (Alama 15)

2.

(a). -Shida ya kuchambua mashairi

-kuogopa mashairi baada ya kulikuta shairi gumu

-Itikadi kuwa mashairi ni magumu

-Kutofanya mazoezi na kukutana na mashairi kwa mara ya kwanza katika chumba cha mtihani.

-Kupata msamiati usiopatikana katika kamusi. (5 x 1 = 5)

(b). -Asivunjwe moyo anapokabiliana na mashairi magumu.

-Atupilie mbali dhana kuwa ushairi ni mgumu.

-Kuyapenda mapema na kufanya mazoezi.

-Ajaribu kutunga mashairi.

-Ajihami na msamiati. (4 x 2 = 8)

20 marks

3. MATUMIZI YA LUGHA (Alama 40)

3.

(a). Kilipoogeshwa

(b). (i). Ukuta-kuta /ukucha

– kucha /ukuni-kuni

(ii). Ubao – mbao /ubavu –mbavu /ubawa –mbawa.

(iii). Ulimi – ndimi.

(iv). Wimbo –Nyimbo /waya –nyaya / wakati –nyakati /waraka –nyaraka.

(v). Ufito – fito

(vi). Uso –nyuso /uzi –nyuzi Zozote 5 x ½ =2 ½


(c). Chote –ujumla wa vitu bila ya kubaki (kila kimoja) (2 x1 = 2)

Chochote – bila kubagua / uchaguzi.

(d). (h) -kikwamizo – koromeo

(r) -kimadende - ufizi (4 x ½ = 2)

(e). Mama ambaye alikufa amezikwa kaburini au Mama aliyekufa amezikwa katika kaburi. (2 x 1 = 2)

(f). (KN)N - Ng’ombe (K.T)

T - Waliovamia N - Shamba V - Letu (KT)T - Wamesababisha (KN)N - Uharibifu V - Mkubwa

(g). (i) Changamano

(ii) Sahili (2 x 1 = 2)

(h). Ngome ya wanajeshi hufanyiwa ukarabati. (1 x 2 = 2)

(i). Yule mwalimu

- virai nomino

Mwenye ndevu - virai vivumishi

Sasa hivi

- virai vielezi (3 x 1 = 3)

(j). -Wasingeniazima -Tusingemaliza (2 x ½ = 1)

(k). Lo! Amekimbia. (½ x 4 = 2) (l).

a - v Mbwa –k k k v (½ x 4 = 2)

(m). Polepole - Chapuchapu /haraka ((1 x 2 = 2)

(n). Kucha - kipande kigumu mfano wa pembe Kinachoota kwenye kidole cha mtu (mnyama au ndege) / Heshimu /Pambazuka.

Kuja - tamko la kumwita mtu.

(o). Udogo Ukubwa Kijana -jana (2 x 1 = 2)

(p). Mwehu - Kichaa / mwendawazimu Mahuluki - mtu / binadamu/ mja / kiumbe / insi (2 x 1 = 2)

(q). Kipozi -simu Kitondo Mpenzi wake. (2 x 1 = 2)
(r). Maria alisema, ‘Njiani kulikuwa kumenyesha sana ndio sababu tulichelewa.” (4 x ½ = 2)

(s). Pia (1 x 1 = 1)

(t). (i). A – li –cho –m (½ x 4 = 2)

(u). Timu yao hushindwa ichezapo vyema (1 x 1 =1)

(v). Uktubi 1

40 marks

4. ISIMUJAMII (Alama 10)

4.



Njia zinazochangia maenezi ya Kiswahili.

-Dini

-Biashara

-Shule kinatahiniwa kiwango viwango vyote.

-Vyombo vya habari – magazeti /runinga /filamu.

-Ndoa baina ya watu wa jamii tofauti.

-Malezi ya kisasa.

-Lugha ya taifa /rasmi.

-Vitabu vya riwaya / ushairi /tamthilia vya waandishi mbalimbali.

-Tamasha za muziki na maigizo.

-Mijadala na hotuba mbalimbali redioni na katika mabaraza.

(zozote tano na maelezo sahihi (2x5=10)

10 marks

Back Top