Search
Free School Management System
Free School Management System for Kenya

Free School Management System

Learn More

2016 KCSE 4MCK Joint Exam

Kiswahili Paper 1

1.

Halmashauri ya utunzi wa mitihani nchini imewatahadharisha watahiniwa dhidi ya
udanganyifu katika mitihani ya kitaifa. Andika tahadhari hiyo na hatua zitakazochukuliwa
dhidi ya watakaozikiuka.

20 marks

2.

Teknolojia na sayansi ya kisasa ina faida na madhara kwa vijana wetu. Jadili.

20 marks

3.

Atangaye sana na jua hujua.

20 marks

4.

Andika insha itakayomalizikia kwa maneno haya:
…………………nilishusha pumzi, nikashukuru. Masaibu yangu yalikuwa yamefika kikomona maisha
ya siku zijazo yalijaa matumaini.

20 marks

Back Top