Kiswahili Paper 1 Question Paper
KCSE CLUSTER TESTS 23
Kiswahili Paper 1
1.
Lazima:
Wewe ni chifu wa eneo lako. Umemwita kiongozi wa kamati ya vijana. Andika mazungumzo
kati yenu kuhusu kinachosababisha ongezeko la unywaji wa pombe haramu katika eneo lako.
20 marks
2.
Eleza jinsi teknolojia ya kisasa ilivyoathiri maisha ya wakenya.
20 marks
3.
Maji yakimwagika hayazoleki.
20 marks
4.
Tunga insha inayomalizikia kwa maneno yafuatayo:-
… ilikuwa ajabu kuu kwa wengi waliodharau umri na uwezo wangu kutekeleza kitendo hicho.
20 marks