Search
Free School Management System
Free School Management System for Kenya

Free School Management System

Learn More

KCSE CLUSTER TESTS 27

Kiswahili Paper 3

1.USHAIRI (Alama 20)

Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali yafuatayo
1.

maswali

a) Eleza dhamira ya shairi hili (alama 2)

b) Taja na kueleza mikondo yoyote miwili inayojitokeza katika shairi hili (alama 4)

c) Taja na kueleza mbinu zozote tatu za lugha zinazojitokeza katika shairi hili (alama 6)

d)Andika ubeti wa pili kwa lugha nathari (alama 4)
e) Eleza maana ya msamiati ufuatao (alama 4)

i)Anabezwa.

ii)Akijitoma

iii)Atakayepuma
iv) Hadhi

20 marks

2. SEHUMU A (Alama 20)

HADITHI FUPI
2.

Mayai waziri wa maradhi na hadithi nyingine

2. “Karibu ndugu yangu waumini ni kukirimiana tunashukuru, alhamdulilahi sifa zote ni zake Maulana a)Eleza muktadha wa dondoo hili (alama 4)

b) Wahusika hawa walikirimiana vipi? (alama 12)

c) “Kukirimiana” huko kulikuwa na hasara gani? (alama 4)

au

3. Adui ya mwanamke ni mwanamke Eleza kauli hii ukirejelea hadithi ya ngome ya nafsi na uteuzi wa moyoni

20 marks

3. SEHEMU B (Alama 20)

RIWAYA
4.

UTENGANO: SAID. A. MOHAMMED.

4. “Kuna heri gani kuonana na kisabaluu huyu uso wa kifuu” a) Eleza muktadha wa dondoo hili (alama 4)

b) Eleza umuhimu wa mzungumzaji (alama 8)

c) Kulingana na maoni ya mzungumzaji, mrejelewa ana dosari Thibitisha (alama 8)

au

5. a) Vita dhidi ya ubabadume vimepamba moto. Thibitisha kwa kurejelea riwaya ya utengano (alama 10)

b) Eleza madhara yanayotokana na ubabadume kwa mujibu wa riwaya ya utengano (alama 10)

20 marks

4.SEHEMU C (Alama 20)

TAMTHILIA
6.

“Vitisho havitaua ndoto yetu Nyoyo zetu zimechoka. Utawala mbaya”

a) Fafanua muktadha wa dondoo hili (alama 4)

b) Kwa kurejelea dondoo hili eleza sifa mbili za msemaji (alama 2)

Thibitisha ukweli kuwa utawala wa mtemi Bokono ni utawala mbaya (alama 14)

20 marks

5. SEHEMU D (Alama 20)

FASIHI SIMULIZI
7.

a) Fafanua kikamilifu dhana zifuatazo za fasihi simulizi

i) Nyiso (alama 2)

ii) Mbolezi (alama 2)

iii) Hodiya (alama 2)

iv) Bembelezi (alama 2)

v) Sifo (alama 2)

b)

i)Miviga ni nini (alama 2)

vi) Orodhesha sherehe nne za jamii yako zinazohusishwa na miviga (alama 4)

vii) Je, miviga ina upungufu gani (alama 4)

20 marks

Back Top